Quantcast
Channel: Spoti na Starehe » Chelsea
Browsing latest articles
Browse All 5 View Live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchezaji wa Chelsea apigwa adhabu mwaka mmoja nje!!

Mchezaji mserbia anayechezea Klabu ya Chelsea Slobodan Rajkovic amepata adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja kucheza soka kwenye mashindano yeyote baada ya kitendo cha kumtemea mate refa kwenye michezo ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Essien kukosekana uwanjani kwa Miezi Mitano!!

Mchezaji Michael Essien atakosa kuonekana uwanjani kwa kipindi kisichopungua miezi mitano na nusu tokea sasa imefahamika. Essien ambaye alikuwa akiwakilisha nchi yake ya Ghana kwenye mtanange wa awali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chelsea yaibuka kidedea kwa Man City kwenye “Mchezo wa Kitajiri”

Klabu ya Chelsea usiku huu imeibuka mbabe wa mchezo kati yake na Man City kwa kuitungua mabao matatu kwa moja (3-1) katika mchezo “wa kitajiri” uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa. Huku akilipa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chelsea Chelsea “mlibwani???”

Niko na Mheshimiwa Zungu, Mbunge wa Ilala ndani ya Shah Alam Stadium tukifuatilia mechi ya Chelsea na Kombaini ya Timu ya Taifa ya Malaysia wakati Chelsea ilipofanya ziara ya Asia na kucheza michezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SCOLARI ATIMULIWA KAZI CHELSEA!!

Luiz Felipe Scolari Klabu ya Chelsea ya Uingereza hatimaye imesitisha kibarua na kumfukuza kazi kocha wake Luiz Felipe Scolari hapo jana. Kocha huyo m-Brazili mwenye umri wa miaka 60 ambaye kwa kiasi...

View Article

Browsing latest articles
Browse All 5 View Live




Latest Images